• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 14, 2020

  WACHEZAJI WA SIMBA WAKIJIFUA TAYARI KUWAVAA LIPULI FC KESHO UWANJA WA SAMORA

  Kiungo wa Simba SC, Deogratius Kanda (katikati) akimlamba chenga beki Yussuf Mlipili mazoezini Uwanja wa Samora mjini Iringa jana kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Lipuli FC
  Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini Uwanja wa Samora mjini Iringa jana kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Lipuli FC 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA SIMBA WAKIJIFUA TAYARI KUWAVAA LIPULI FC KESHO UWANJA WA SAMORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top