• HABARI MPYA

  Monday, February 24, 2020

  BRUNO AFUNGA MANCHESTER UNITED YAITANDIKA WATFORD 3-0

  Wachezaji wa Manchester United wakishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Watford, mabao ya Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya 42, Anthony Martial dakika ya 58 na Mason Greenwood dakika ya 75 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRUNO AFUNGA MANCHESTER UNITED YAITANDIKA WATFORD 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top