Viungo wa Simba SC, Mbrazil Gerson Fraga 'Vieira' (kulia) na Jonas Mkude wakichuana mazoezini leo Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga kujiandaa na mchezo wa Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wenyeji, Stand United kesho mjini humo
Viungo wengine wa Simba SC, Msudan Sharaf Eldin Shiboub (kulia) na Mkongo Deogratius Kanda wakionyeshana ufundi
Hapa ni mchezaji wa zamani wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Deo Kanda akimpita beki wa zamani wa El Merreikh ya Sudan, Muivory Coast, Serge Wawa Pascal. Nyuma ni Shiza Kichuya
NFL Draft 2024 Big Board: Best Available Players After Day 2
-
While Day 2 of the 2024 NFL draft might not have involved as much drama as
Day 1, plenty of future starters and stars came off the board. Prospects
picked on…
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment