Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 33 kabla ya Sergi Roberto kufunga la pili dakika ya 39 katika ushindi wa 2-1 leo dhidi ya Getafe ambayo bao lake limefungwa na Angel Rodriguez dakika ya 66 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Ushindi huo unaifanya Barca ifikishe pointi 52 katika mchezo wa 24, sawa na Real Madrid yenye mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump: Nigerians don’t need to be told security has improved – Dalung
-
Former Minister of Youth and Sports, Solomon Dalung, has downplayed US
President Donald Trump's recent praise of President Bola Tinubu’s efforts
to tackl...
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment