WILDER NA FURY WATUA LAS VEGAS TAYARI KWA PAMBANO LAO JUMAPILI
Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kula) akitamba baada ya kuwasili hoteli ya MGM Grand Jijini Las Vegas kuelekea pambano lake la marudiano na Muingereza, Tyson Fury (kushoto) Jumapili asubuhi baada ya wawili hao kutoka droo Desemba 2018PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment