• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 23, 2020

  LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA

  Wachezaji wa Levante wakishangilia baada ya Jose Luis Morales kufunga bao pekee dakika ya 79 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top