• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 14, 2020

  UKARABATI AZAM COMPLEX WAENDELEA VIZURI NA UWANJA UTAKUWA TAYARI KWA MATUMIZI TENA MWEZI UJAO

  ZOEZI la marekebisho ya Uwanja wa Azam Complex, uliopo Mbade, Chamazi Jijini Dar es Salaam ambao hutumiwa na klabu ya Azam FC linaendelea vizuri, likiwa limefikia katika hatua za mwishoni.


  Kwa sasa wafanyakazi wanaweka plastiki maalumu la kunyonya maji likiwa na njia za kuteremsha hadi katika mtaro na kwa ujumla zoezi hilo zima linatarajiwa kukamilika katikati ya mwezi ujao.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UKARABATI AZAM COMPLEX WAENDELEA VIZURI NA UWANJA UTAKUWA TAYARI KWA MATUMIZI TENA MWEZI UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top