• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 29, 2020

  ISMAILA SARR APIGA MBILI LIVERPOOL YACHAPWA 3-0 VICARAGE

  Mshambuliaji wa umri wa miaka 22 Msenegal, Ismaila Sarr (katikati) amefunga mabao mawili dakika za 54 na 60 katika ushindi wa 3-0 wa Watford dhidi ya Liverpool, bao lingine la wenyeji likifungwa na Troy Deeney dakika ya 72 Uwanja wa Vicarage Road kikosi cha Jurgen Klopp kikipoteza mechi ya kwanza ya msimu katika Ligi Kuu ya England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ISMAILA SARR APIGA MBILI LIVERPOOL YACHAPWA 3-0 VICARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top