• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 10, 2020

  BARCELONA YATOKA NYUMA MARA MBLI NA KUICHAPA REAL BETIS 3-2

  Clement Lenglet (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 72 ikiilaza 3-2 Real Betis kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Estadio Benito Villamarín. Mabao mengne ya Barcelona yalifungwa na Frenkie de Jong dakika ya tisa na Sergio Busquets dakika ya 45 na ushei na wakati ya Real Betis yalifungwa na Sergio Canales kwa penalti dakika yasita na Nabil Fekir dakika ya 26 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YATOKA NYUMA MARA MBLI NA KUICHAPA REAL BETIS 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top