• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 20, 2020

  TFF YAWAPIGA JEKI KING KIBADENI NA SUNDAY MANARA ILI WAKAANZISHE VITUO VYA SOKA VYA WATOTO

  Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Oscar Mirambo (katikati) akiwakabidhi mipira magwiji wa soka ya Tanzania, Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' (kushoto) na Sunday Ramadhani Manara 'Computer' (kulia) kuwaunga mkono katika mpango wao wa kuanzisha vituo vya kufundisha Vijana.
  Afisa wa TFF Idd Mshangama akiwakabidhi hati za kusafiria Kibadeni, aliyewika Simba enzi zake na Manara aliyeng'ara Yanga ambazo zimegharamiwa na shirikisho hilo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TFF YAWAPIGA JEKI KING KIBADENI NA SUNDAY MANARA ILI WAKAANZISHE VITUO VYA SOKA VYA WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top