• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 17, 2020

  REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE NA CELTA VIGO 2-2 BERNABEU

  Nyota wa Real Madrid, Eden Hazard akipambana na kiungo wa Celta Vigo, Rafinha katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Bernabeu Jijini Madrid. Mabao ya Celta Vigo yamefungwa na Fedor Smolov dakika ya saba na Santi Mina dakika ya 85, wakati ya Real Madrid yalifungwa na Toni Kroos dakika ya 52 na lingine kwa penalti ya Sergio Ramos dakika ya 65. Pamoja na sare hyo Real inaendelea kuongoza La Liga kwa pointi moja zaidi ya mabingwa watetezi, Barcelona (53-52) baada ya wote kucheza mechi 24 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE NA CELTA VIGO 2-2 BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top