• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 14, 2020

  MBWANA SAMATTA AKIJIFUA ASTON VILLA IKIJIANDAA KWA MECHI NA TOTTENHAM JUMAPILI VILLA PARK

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa mazoezini na Uwanja wa Bodymoor Heath Jijini Birmingham, timu yake, Aston Villa ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Hotspur Jumapili Uwanja wa Villa Park 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA AKIJIFUA ASTON VILLA IKIJIANDAA KWA MECHI NA TOTTENHAM JUMAPILI VILLA PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top