Anthony Martial akiifungia bao la kusawazisha Manchester United dakika ya 36, kufuatia Emmanuel Dennis kuanza kuifungia Club Brugge dakika ya 15 katika sare ya 1-1 baina ya timu hizo kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora michuano ya UEFA ya Europa League usiku wa jana Uwanja wa Jan Breydel Jijini Brugge, Ubelgiji. Timu hizo zitarudiana Februari 27 Manchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Soludo says Anambra diversifying to agric-driven economy
-
Gov. Chukwuma Soludo of Anambra has warned that states may no longer pay
their basic bills if they don’t move away from FAAC-based revenue to
agriculture...
Dakika 13 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni