• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 20, 2020

  MAN CITY YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-0 LIGI KUU YA ENGLAND

  Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 62 kufuatia kumsetia Rodri Hernandez kufunga la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-0 LIGI KUU YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top