• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 20, 2020

  BEKI WA KAZI WA AZAM FC, AGGREY MORRIS ANAVYOJIANDAA KUWAKABILI NAMUNGO FC JUMAMOSI UWANJA WA MAJALIWA

  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaofanyika Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoan Lindi 
  Kocha wa Azam FC, Mromania Aristica Cioaba akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaofanyika Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoan Lindi 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI WA KAZI WA AZAM FC, AGGREY MORRIS ANAVYOJIANDAA KUWAKABILI NAMUNGO FC JUMAMOSI UWANJA WA MAJALIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top