• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 06, 2020

  MTANGO ALIPOZURU BUNGENI LEO KUONYESHA MKANDA WAKE WA UBO

  Bondia Salim Mtango akipeana mkono na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Kajaliwa viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Mtango alizuru Bungeni leo kwa ajili ya pongezi baada ya kumshinda Suriya Tatakhun wa Thailand kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya saba Ijumaa iliyopita Uwanja wa Mkwakwani Jijini na kutwaa taji la UBO uzito wa Light.  Wengine kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe na Naibu wake, Juliana Shonza na kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Ally Mwalimu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MTANGO ALIPOZURU BUNGENI LEO KUONYESHA MKANDA WAKE WA UBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top