• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 29, 2020

  ALONSO AIPIGIA ZOTE MBILI CHELSEA YATOKA 2-2 NA BOURNEMOUTH

  Marcos Alonso akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 33 na 85 katika sare ya 2-2 na wenyeji, AFC Bournemouth ambayo mabao yake leo yamefungwa na Jefferson Lerma dakika ya 54 na Josh King dakika ya 57 leo Uwanja wa Vitality 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ALONSO AIPIGIA ZOTE MBILI CHELSEA YATOKA 2-2 NA BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top