• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 28, 2020

  ARSENAL YATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUPIGWA 2-1 EMIRATES

  Youssef El-Arabi akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Olympiacos dakika ya 119 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates Jijini London. Olympiacos ilitangulia kwa bao la Pape Abou Cissé dakika ya 53, kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kuisawazshia Arsenal dakika ya 113, hivyo kufanya matokeo ya jumla kuw asare ya 2-2 na baada ya Washika Bunduki wa London kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza ugenini, lakini timu ya Ugiriki inasonga mbele kwa faida ya mabao ya ugenini 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUPIGWA 2-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top