• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 27, 2020

  MAN CITY WAIKANDAMIZA REAL MADRID 2-1 PALE PALE BERNABEU

  Kevin De Bruyne (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City kwa penalti dakika ya 83 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Real Madrid usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Real Madrid ilitangulia kwa bao la Isco dakika ya 60, kabla ya Gabriel Jesus kuisawazishia Man City dakika ya 78 na timu hizo zitarudiana Machi 17 Uwanja wa Etihad, Manchester 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY WAIKANDAMIZA REAL MADRID 2-1 PALE PALE BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top