• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 12, 2020

  UNAFIKIRI GARDIEL MICHAEL ALIKUWA ANAWAZA NINI LEO KWENYE MAZOEZI YA SIMBA SC LEO ASUBUHI MOROGORO?

  Beki wa kushoto wa Simba SC, Gardiel Michael Mbaga akitafakari jambo wakati wa mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. 
  Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga akijifua kwa bidii kwenye mazoezi ya timu yake leo mjini Morogoro 
  Kiungo Mzambia, Clatous Chama (kushoto) akijifua kwenye mazoezi ya Simba SC leo mjini Morogoro 
  Beki Yussuf Mlipili akijifua kwenye mazoezi ya Simba SC leo mjini Morogoro 
  Katikati ni beki Muivory Coast, Serge Wawa Pascal na pembeni na Wabrazil, beki Tairone Santos (kulia) na kiungo Gerson Fraga (kushoto)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UNAFIKIRI GARDIEL MICHAEL ALIKUWA ANAWAZA NINI LEO KWENYE MAZOEZI YA SIMBA SC LEO ASUBUHI MOROGORO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top