• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 20, 2020

  YANGA SC MAZOEZINI LEO JIJINI TANGA KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA COASTAL UNION JUMAPILI

  Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezi Uwanja wa shule ya sekondari ya Popatlal kujiandaa na mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania ya Bara dhidi ya wenyeji, Coastal Union Jumapili kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC MAZOEZINI LEO JIJINI TANGA KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA COASTAL UNION JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top