• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 06, 2019

  YANGA SC YA MKWASA ILIVYOONDOKA LEO DAR KUWAFUATA NDANDA KWA MCHEZO WA LIGI KUU IJUMAA MTWARA

  Basi la wachezaji wa klabu ya Yanga SC likiwa safarini asubuhi ya leo chini ya kocha mpya na wa muda, Charles Boniface baada ya kufukuzwa kwa Mkongo, Mwinyi Zahera kwenda Mtwara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Ndanda FC Ijumaa Uwanja wa Nangwanda Sijaona  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YA MKWASA ILIVYOONDOKA LEO DAR KUWAFUATA NDANDA KWA MCHEZO WA LIGI KUU IJUMAA MTWARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top