• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 06, 2019

  AZAM FC WAKIJIFUA KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA BIASHARA UNITED IJUMAA CHAMAZI

  Wachezaji wa Azam FC, kiungo Mudathir Yahya (kulia) na mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma (kushoto) wakiwa mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Biashara United ya Mara Ijumaa 
  Mshambuliaji Muivory Coast, Richard Ella D'jodi akijifua jana mazoezini 
  'Smiling Boy' Iddi Kipagwile akifurahia mazoezini jana kuelekea mechi na Biashara Ijumaa Azam Complex
  Beki mkongwe, Aggrey Morris akijifua mazoezini jana kuelekea mchezo huo 
  Kiungo mshambuliaji Iddi Suleiman 'Nado' akiwa hoi mazoezini jana Azam ikijiandaa na mchezo ujao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WAKIJIFUA KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA BIASHARA UNITED IJUMAA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top