• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 03, 2019

  REFA AKATAA BAO LA HAZARD REAL MADRID YATOKA SARE 0-0 NA BETIS

  Mshambuliaji Edin Hazard akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid dakika ya nane jana kabla ya refa Jose Sanchez kulikataa bao hilo kufuatia Marudio ya Picha za Video (VAR) kuonyesha alikuwa ameotea wakilazimishwa sare ya 0-0 na Real Betis Uwanja wa Santiago Bernabeu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REFA AKATAA BAO LA HAZARD REAL MADRID YATOKA SARE 0-0 NA BETIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top