• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 03, 2019

  TAMMY ABRAHAM AFUNGA CHELSEA YAIPIGA WATFORD 2-1

  Mshambuliaji Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya tano katika ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Vicarage Road. Bao la pili la Chelsea lilifungwa na Christian Pulisic dakika ya 55, kabla ya Gerard Deulofeu kuwafungia wenyeji kwa penalti ya msaada wa Marudio ya Picha za Video (VAR) dakika ya 80 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAMMY ABRAHAM AFUNGA CHELSEA YAIPIGA WATFORD 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top