• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 02, 2019

  BARCELONA HOI, YACHAPWA 3-1 NA LEVANTE KATIKA LA LIGA

  Nahodha Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kuchapwa mabao 3-1 na wenyeji, Levante katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Ciudad de Valencia. Mabao ya Levante yamefungwa na Jose Campana dakika ya 61, Borja Mayoral dakika ya 63 na Nemanja Radoja dakika ya 68, wakati la Barcelona limefungwa na Messi kwa penalti dakika ya 38 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA HOI, YACHAPWA 3-1 NA LEVANTE KATIKA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top