• HABARI MPYA

  Tuesday, January 22, 2019

  ALEX JOSEPH PETER WA KIMARA TEMBONI ASHINDA SH. MILIONI 31 ZA SPORTPESA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  MKAZI wa Kimara Temboni mjini Dar es Salaam, Alex Joseph Peter (26) ameibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13.
  Katika mazungumzo na waandishi wa habari Alex alisema " Nimeanza kucheza na SportPesa mwezi huu huu wa kwanza na sikutumia muda mwingi kuweka ubashiri wangu kwani mimi sifahamu mpira wa miguu sana"
  "Nilitumia kiasi cha shilingi elfu mbili na nikabashiri mech za JackPot 13 ambapo nilibahatika kubashiri kwa usahihi mechi 12 na kujishindia kiasi cha shilingi milioni 31,112,175/=".

  Mkurugenzi wa Uendeshaji SportPesa Tanzania Bwana Luca Neghesti akikabidhi cheki kwa mshindi wa bonasi ya  shilingi 31,112,175 ya JackPot ndugu Alex Jaseph Peter ambapo alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13.

  "Kusema ukweli simfahamu mtu yoyote kutoka SportPesa na wakati napokea msg sikuamini na wala sikulala   na nikahisi ni msg za utapeli."
  "Napenda kuishukuru sana SportPesa kwa kubadili maisha yangu , mimakiwanja ambacho kwa sasa na uhakika wa kupandisha ili niwe na makazi yangu mwenyewe"
  Kmapuni ya SportPesa hivi sasa inaongoza kwa kuwa na JackPot kubwa ambayo kwa sasa imesimamia kiasi cha shilingi 427,899,260 kwa atakaye weka umabashiri mechi 13 kwa usahihi.
  Kucheza na SportPesa mtumiaji wa mitandao yote ya simu(Vodacom, Vodacom, Airtel, Halotel pamoja na Zantel) kwa kupiga * 150*87#, kuweka pesa na kisha kuanza kubashiri.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALEX JOSEPH PETER WA KIMARA TEMBONI ASHINDA SH. MILIONI 31 ZA SPORTPESA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top