• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 28, 2019

  CRYSTAL PALACE YAITUPA NJE TOTTENHAM HOTSPUR KOMBE LA FA ENGLAND

  Wachezaji wa Crystal Palace wakimpongeza mwenzao, Connor Wickham baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya tisa katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Bao la pili lilifungwa na Andros Townsend kwa penalti dakika ya 34 baada ya Kyle Walker-Peters kuushika mpira kwa mkono kwenye boksi, kabla ya Spurs nao kukosa penalti kufuatia mkwaju wa Kieran Trippier kutoka nje 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CRYSTAL PALACE YAITUPA NJE TOTTENHAM HOTSPUR KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top