Kiungo Declan Rice akishangilia baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 akimalizia pasi ya mchezaji mpya, Samir Nasri katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Ushindi huo unaipandisha West Ham kutoka nafasi ya 11 hadi ya nane kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikifikisha plointi 31 katika mechi ya 22, wakati Arsenal inabaki nafasi ya tano na pointi zake 41 za mechi 22 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment