Wissam Ben Yedder akishangilia bao la pili aliloifungia Sevilla kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona kwenye Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme Hispania jana kwa kufunua jezi yake kuonyesha maandishi ya kusikitikia kupotea kwa rafiki yake, mwanasoka mwenzake Emiliano Sala. Bao la kwanza la Sevilla lilifungwa na Pablo Sarabia dakika ya 58 Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla na Sala alipotea mwanzoni mwa wiki kufuatia kuanguka kwa ndege binafsi aliyopanda kwa safari ya Uingereza kwenda kujiunga na klabu yake mpya, Cardiff City kutoka Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment