Wachezaji wa Yanga SC kabla ya mechi ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati dhidi ya wenyeji, Express FC ‘Read Eagles’ mwaka 1993 Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala, Uganda. Yanga ilishinda 3-1. Kutoka kulia ni Kenneth Mkapa, Steven Nemes, David Mwakalebela, Zamoyoni Mogella, Edibily Lunyamila, Abubakar Salum ‘Sure Boy’, Mohammed Hussein ‘Mmachinga’, Steven Mussa (marehemu), Method Mogella (marehemu), Mtwa Kihwelo, Issa Athumani (marehemu), Suleiman Mkati, Willy Mtendamema, Willy Martin, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu), Riffat Said (marehemu), Dk. Shecky Mngazija na kocha Nzoyisaba Tauzany (marehemu). Yanga SC iliibuka bingwa wa michuano hiyo baada ya kuifunga na SC Villa 2-1 kwenye fainali
EU governments back Italy's Comporti for next head of ESMA
-
BRUSSELS, July 23 (Reuters) - Ambassadors of European Union governments
backed on Wednesday Italy's Carlo Comporti as the next head of the European
Securit...
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment