Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester City dakika ya 10 akimalizia pasi ya Leroy Sane na 39 kwa penalti ikiilaza Wolverhampton Wanderers 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Etihad. Bao lingine la Manchester City limefungwa na Conor Coady aliyejifunga dakika ya 78 katika harakati za kuokoa krosi ya Kevin De Bruyne na kwa ushindi huo wanapunguza pengo la pointi wanazozidiwa na Liverpool hadi kubaki nne (57-53) baada ya timu zote kucheza mechi 22 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment