Leroy Sane (kushoto) na Raheem Sterling (kulia) wakimpongeza Danilo baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa John Smith. Raheem Sterling alifunga bao la pili dakika ya 54 na Leroy Sane la tatu dakika ya 56 na kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 56 baada ya kucheza mechi 23, ikiendelea kukaa nafasi ya pili nyuma ya Liverpool yenye pointi 60 sasa baada ya kucheza mechi 23 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment