• HABARI MPYA

  Thursday, January 24, 2019

  NJOHOLE WA MBAO FC ALIPODHIHIRISHA UBORA WAKE JANA SPORTPESA SUPER CUP

  Mchezaji wa Mbao FC, Ibrahim Njohole akikabidhiwa mfano wa hundi wa dola 500 za KImarekani, zaidi ya Sh. Milioni 12. za Tanzania baada ya kuchaguliwa Mchezaji Bora wa mechi dhidi ya Gor Mahia ya Kenya jana katika mchezo wa SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Mbao ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 1-1 na kwenda Nusu Fainali ambako itakutana na Kariobangi Sharks 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NJOHOLE WA MBAO FC ALIPODHIHIRISHA UBORA WAKE JANA SPORTPESA SUPER CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top