• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 19, 2019

  CASEMIRO, MODRIC WAFUNGA REAL MADRID YAICHAPA SEVILLA 2-0

  Casemiro (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzale, Luka Modric baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 78 kwa shuti la umbali wa mita 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. 
  Bao la pili limefungwa na Modric dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo Real Madrid inafikisha pointi 36 baada ya kucheza mechi 20, ikipanda kwa nafasi hadi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi saba na vinara, Barcelona 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CASEMIRO, MODRIC WAFUNGA REAL MADRID YAICHAPA SEVILLA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top