• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 26, 2019

  MAN CITY YAIFUMUA BURNLEY 5-0 KOMBE LA FA ENGLAND

  Gabriel Jesus akishangilia kwa ishara ya kupiga simu baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 23 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley leo kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Manchester City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 52, Kelvin De Bruyne dakika ya 61, Kevin Long aliyejifunga dakika ya 73 na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 85 na kwa ushindi huo timu ya Pep Guardiola inakwenda Raundi ya Tano ya michuano hiyo 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIFUMUA BURNLEY 5-0 KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top