• HABARI MPYA

  Saturday, January 19, 2019

  POGBA AFUNGA MANCHESTER UNITED YASHINDA 2-1 ENGLAND

  Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza kwa penalti dakika ya 27 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Brighton and Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao la pili la Man United limefungwa na mshambuliaji Marcus Rashford dakika ya 42, wakati la Brighton limefungwa na Pascal Gross dakika ya 72 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AFUNGA MANCHESTER UNITED YASHINDA 2-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top