• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 24, 2019

  HIGUAIN ATUA CHELSEA KWA MKOPO MORATA ARUDISHWE HISPANIA

  Mshambuliaji Muargentina, Gonzalo Higuain akiwa ameshika jezi namba 9 ya Chelsea jana mjini London baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo kutoka AC Milan hadi mwsihoni mwa msimu, dili ambalo linaweza kuifanya The Blues imtoe kwa mkopo, mshambuliaji wa Hispania, Alvaro Morata kwenda Atletico Madrid ya kwao 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIGUAIN ATUA CHELSEA KWA MKOPO MORATA ARUDISHWE HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top