• HABARI MPYA

  Thursday, January 31, 2019

  CHIESA APIGA HAT TRICK FIORENTINA YAICHAPA 7-1 AS ROMA

  Federico Chiesa akiwa ameshika mpira wake baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za saba, 18 na 74 katika ushindi wa 7-1 wa Fiorentina dhidi ya AS Roma kwenue mchezo wa Robo Fainali Coppa Italia usiku wa jana Uwanja wa Artemio Franchi mjini Firenze. Mabao mengine ya Fiorentina yalifungwa na Giovanni Simeone mawili dakika za 79 na 89, Luis Muriel dakika ya 33 na Marco Bennassi dakika ya 66, wakati la AS Roma  iliyompoteza mchezaji wake, Edin Dzeko aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 72 tena baada ya kutokea benchi kuchukua nafasi ya Javier Pastore kipindi cha pili lilifungwa na Aleksandar Kolarov dakika ya 28  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHIESA APIGA HAT TRICK FIORENTINA YAICHAPA 7-1 AS ROMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top