• HABARI MPYA

  Thursday, January 17, 2019

  REAL MADRID YAPIGWA LAKINI YASONGA MBELE KOMBE LA MFALME

  Kiungo wa Real Madrid, Isco akimruka kipa wa Leganes, Pichu Cuellar katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Butarque mjini Leganes.
  Pamoja na kufungwa 1-0 bao pekee la Martin Braithwaite dakika ya 30, anayecheza kwa mkopo kutoka Middlesbrough, Real Madrid inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1, kufuatia kuichapa Leganes 3-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Januari 9 mjini Madrid 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAPIGWA LAKINI YASONGA MBELE KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top