Mkurugenzi wa Michezo, Dk.Yussuf Singo akimkabidhi kiungo Mzambia Simba SC, Clatous Chama mfano wa hudi ya dola 500, zaidi ya Sh. Milioni 1.2 za Tanzania baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Mechi dhidi ya AFC Leopards michuano ya SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-1 na kufanikiwa kutinga Nusu Fainali na sasa itamenyana na Bandari ya Kenya pia
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment