• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 19, 2019

  LACAZETTE AFUNGA ARSENAL YAICHAPA CHELSEA 2-0 EMIRATES

  Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Arsenal dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Bao la pili la Arsenal limefungwa na Laurent Koscielny dakika ya 39 na ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 44 baada ya kucheza mechi 23, ikiendelea kushika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu, sasa ikizidiwa pointi tatu na Chelsea iliyo nafasi ya nne 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LACAZETTE AFUNGA ARSENAL YAICHAPA CHELSEA 2-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top