• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 28, 2019

  MESSI AFUNGA LA PILI BARCELONA YASHINDA 2-0 UGENINI LA LIGA

  Nyota wa Argentina, Lionel Messi akishangilia na Jordi Alba baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 68 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Girona kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona kufuatia Nelson Semedo kufunga la kwanza dakika ya tisa. Kwa ushindi huo, Barca inafikisha pointi 49 na kuendelea kuongoza La Liga kwa pointi 10 zaidi ya mahasimu wao, Real Madrid walio katika nafasi ya tatu, nyuma ya Atletico Madrid wenye pointi 44 baada ya timu zote kucheza mechi 21 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA LA PILI BARCELONA YASHINDA 2-0 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top