• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 20, 2019

  BANDARI KENYA WAKIJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA SPORTPESA CUP

  Wachezaji wa Bandari ya Kenya wakifanya mazoezi leo Uwanja wa Polisi, Kurasini mjini Dar es Salaam leo kujiandaa na michuano ya tatu ya Kombe la SportPesa inayotarajiwa kuanza Januari 22 hadi 27 mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BANDARI KENYA WAKIJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA SPORTPESA CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top