• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 25, 2019

  SIMBA SC NA BANDARI YA MOMBASA KATIKA PICHA LEO TAIFA

  Beki Muivory Coast wa Simba SC, Serge Wawa Pascal akimtoka mchezaji wa Bandari FC ya Mombasa leo katika mchezo wa Nusu Fainali ya SportPesa Super Cup leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Bandari FC imeshinda 2-1.    Wachezaji wa Bandari FC wakishangilia baada ya kupata bao la pili na la ushindi leo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA BANDARI YA MOMBASA KATIKA PICHA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top