• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 24, 2019

  MAN CITY YAKAMILISHA BIASHARA KOMBE LA LIGI, YATUA RASMI FAINALI

  Gabriel Jesus wa Manchester City (katikati) akijaribu kupasua katikati ya mabeki wa Burton, huku Nigel Clough akijaribu kumzuia katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England jana Uwanja wa Pirelli, Burton-upon-Trent mjini Staffordshire. Man City ilishinda 1-0, bao pekee la Sergko Aguero dakika ya 26 akimalizia pasi ya Riyad Mahrez, hivyo kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 10-0 baada ya kushinda 9-0 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani na sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya Chelsea na Tottenham Hotspur zinazorudiana leo uwanja wa Stamford Bridge, London kufuatia Spurs kushinda 1-0 Wembley 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAKAMILISHA BIASHARA KOMBE LA LIGI, YATUA RASMI FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top