• HABARI MPYA

  Thursday, January 17, 2019

  RONALDO AFUNGA NA KUIPA TAJI LA KWANZA JUVENTUS

  Mshambuliaji Mreno, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Juventus dakika ya 61 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AC Milan usiku wa jana kwenye mechi ya Super Cup ya Italia Uwanja wa King Abdullah Sports City mjini Jeddah, Saudi Arabia.
  Hilo linakuwa taji la kwanza Ronaldo anashinda na Real Madrid baada ya kujiunga nayo msimu huu kutoka Real Madrid 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA NA KUIPA TAJI LA KWANZA JUVENTUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top