• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 28, 2019

  WILLIAN APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 3-0 KOMBE LA FA ENGLAND

  Mbrazil Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za 26 na 83 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sheffield Wednesday kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England uliofanyika Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la pili lilifungwa na Callum Hudson-Odoi na kwa ushindi huo The Blues wanakwenda Raundi ya Tano 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WILLIAN APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 3-0 KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top