• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 30, 2019

  AUBAMEYANG, LACAZETTE WOTE WAFUNGA ARSENAL YASHINDA 2-1

  Alexandre Lacazette (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 83 kufuatia Pierre-Emerick Aubameyang (kushoto) kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya 66 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Cardiff City ambayo bao lake lilifungwa na Nathaniel Mendez-Laing dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Emirates mjini London. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 47 baada ya kucheza mechi 24, ingawa inabaki nafasi ya tano kwa kuzudiwa tu wastani wa mabao na Chelsea iliyo nafasi ya nne, lakini ina mchezo mmoja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG, LACAZETTE WOTE WAFUNGA ARSENAL YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top