• HABARI MPYA

  Saturday, January 19, 2019

  MBAPPE APIGA HAT TRICK PSG YAICHAPA GUINGAMP 9-0 UFARANSA

  Kylian Mbappe akishangilia baada yaa kufunga mabao matatu peke yake dakika za 37, 45 na 80 katika ushindi wa 9-0 wa Paris Saint-Germain dhidi ya Guingamp leo kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Neymar dakika ya 11 na 68, Edinson Cavani dakika za 59 na 66 na Thomas Meunier dakika ya 86.
  Ushindi huo unaifanya PSG ifikishe pointi 53 baada ya kucheza mechi 19, ikiendelea kuongoza Ligue 1 kwa pointi 13 zaidi ya Lille inayofutia nafasi ya pili 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE APIGA HAT TRICK PSG YAICHAPA GUINGAMP 9-0 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top